>

Monday, August 8, 2016

Patoranking atoa sababu za kuipa Album yake jina la “God Over Everything”

Msanii wa Dancehall kutoka nchini nigeria Patoranking ambaye hivi karibu ni ameiachia sokoni albam yake ya kwanza ambayo ameipa jina la “God Over Everything”.
Patoranking amefunguka kuwa imani yake imara katika nguvu za Mungu imemsukuma kwa kiasi kikubwa kuipa albam yake hiyo jina hilo la “God Over Everything”

“I want people to know that admist having fun, luv and the rest, God still comes first, hence the chioce of the name GOD OVER EVERYTHING” ni kauli ya Patoranking aliyozungumza kuithibitisha imani yake thabiti juu ya Mungu.

No comments:
Write comments

welcome to our best blog TFM
Join Our Newsletter